iqna

IQNA

Ifahamu Qurani Tukufu
Ifahamu Qur’ani Tukufu/40
TEHRAN (IQNA) – Moja ya vipengele vingi vya muujiza wa Qur’ani Tukufu ni upatanifu wa ajabu katika aya zake nyingi na kutokuwepo kwa mgongano wowote.
Habari ID: 3477976    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/02

Ifahamu Qur'ani Tukufu /39
TEHRAN (IQNA) – Majini ambao ni miongoni mwa viumbe vya Mwenyezi Mungu wanaposikiliza Qur’ani Tukufu, hutaja sifa za hiki Kitabu Kitukufu.
Habari ID: 3477921    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/21

Ifahamu Qur'ani Tukufu /38
TEHRAN (IQNA) – Kwa kawaida, hakuna utaratibu au nidhamu maalum zinazohitajika kwa ajili ya kusoma kitabu. Lakini kuna kitabu kinapatikana katika nyumba ya kila Mwislamu ambacho usomaji unahitaji utaratibu na nidhamu maalum.
Habari ID: 3477883    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/12

Ifahamu Qur'ani Tukufu / 37
TEHRAN (IQNA) – Watu hushangaa mtu anapotoa utabiri kuhusu siku zijazo, lakini inashangaza zaidi kujua kwamba kuna kitabu ambacho kimetabiri kwa usahihi kuhusu siku zijazo.
Habari ID: 3477843    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/05

Ifahamu Qur'ani Tukufu / 36
TEHRAN (IQNA) – Moja ya sifa za Qur’ani Tukufu ni kuwa mshauri. Ni Kitabu kinachotusaidia kuishi maisha bora na kamwe hakitudanganyi.
Habari ID: 3477819    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/31

Ifahamu Qur'ani Tukufu / 32
TEHRAN (IQNA) – Wakati watu wanapotaka kuashiri kina cha fikra, maudhui au kitu kingine chochote, wanakifananisha na bahari.
Habari ID: 3477680    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/01

Ifahamu Qur'ani Tukufu/29
TEHRAN (IQNA) – Kuna aya ndani ya Qur’ani Tukufu inayoashiria umuhimu wa kitabu, ikimnukuu Mtukufu Mtume (SAW) kwamba watu wake “wamekiacha” kitabu hicho.
Habari ID: 3477548    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/04

Ifahamu Qur'ani Tukufu / 28
TEHRAN (IQNA) – Wanadamu daima huwa wanatafuta njia za kufikia matamanio na matakwa yao yote.
Habari ID: 3477536    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/02

Ifahamu Qur'ani Tukufu / 27
TEHRAN (IQNA) – Kuna kamanda hodari ambaye sio tu kwamba hajawahi kushindwa bali pia hawaweki askari wake katika mazingira ya kushindwa.
Habari ID: 3477515    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/29

Ifahamu Qur'ani Tukufu / 26
TEHRAN (IQNA) – Kutoa mwanga juu ya siri ambayo watu hawana ujuzi nayo ni jambo la kupendeza na kinachofanya hili kuwa la kupendeza zaidi ni kufahamu kwamba kuna kitabu ambacho karne 14 zilizopita kilitoa taswira ya kile wanasayansi wamegundua hivi karibuni.
Habari ID: 3477506    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/27

Ifahamu Qur'ani Tukufu / 25
TEHRAN (IQNA) – Baadhi ya masuala yako nje ya uwezo wa utambuzi wa binadamu na ili tuwe na uelewa mdogo kuyahusu, tunahitaji mwongozo ambao una umilisi juu ya somo hilo.
Habari ID: 3477479    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/22

Ifahamu Qur'ani Tukufu / 24
TEHRAN (IQNA) – Suala la kutambua mema na maovu ndio changamoto kuu katika maisha ya mwanadamu.
Habari ID: 3477470    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/20

Ifahuma Qur'ani Tukufu /23
TEHRAN (IQNA) – Imam Ali (AS), katika Nahj al-Balagha, amebainisha ukweli kwamba Qur'ani Tukufu ni kitabu chenye mizani na wastani.
Habari ID: 3477442    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/15

Ifahamu Qur'ani Tukufu /22
TEHRAN (IQNA) - Ujinga wa watu kuhusu historia ya mataifa yaliyotangulia daima husababisha kurudiwa kwa makosa.
Habari ID: 3477429    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/13

Ifahamu Qur'ani Tukufu /21
TEHRAN (IQNA) – Moja ya masuala ambayo yamekuwa mjadala kuhusu wanazuoni wa Kiislamu kwa karne nyingi ni suala la nani baadhi ya aya za Qur’ani zinazungumza.
Habari ID: 3477400    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/08

Ifahamu Qur'ani Tukufu /20
TEHRAN (IQNA) – Wanadamu wana hisia ya pamoja ambayo wakati mwingine huwafanya wajisikie duni na wanyonge na hali hii huwapata hata wale wenye kiburi au mababe. Hulka hii inaweza kurekebishika vipi?
Habari ID: 3477382    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/05

Ifahamu Qur'ani Tukufu/ 18
TEHRAN (IQNA) – Ustawi na maendeleo katika maisha ni miongoni mwa masuala makuu kwa kila mtu tangu mwisho wa utoto.
Habari ID: 3477362    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/31

Ifahamu Qur'ani Tukufu/19
TEHRAN (IQNA) - Katika dunia ya leo, mabilioni ya sentensi huchapishwa au kutangazwa na wasemaji na wazungumzaji. Lakini ni maandishi ya Qur'an Tukufu ambayo yana vipengele ambavyo Kitabu kitukufu kinajieleza kama "Ujumbe Bora".
Habari ID: 3477355    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/29

Ifahamu Qur'ani Tukufu / 17
TEHRAN (IQNA) – Qur'ani Tukufu inajitambulisha kama “Quran al-Majid” (Qur’ani Tukufu).
Habari ID: 3477332    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/24

Ifahamu Qur'ani Tukufu / 16
TEHRAN (IQNA) - Kwa sababu kitabu hiki kina manufaa mengi kwa ubinadamu na kinawaongoza watu kwenye njia iliyo sawa, kuwajua wale wanaoweza kuufikia ukweli wake kuna umuhimu mkubwa.
Habari ID: 3477320    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/22